Header Ads

  • Breaking News

    Auawa baada ya kufanya mapenzi na Ng’ombe.





    Kijana Joseph Koech Alias Mnandi (25) wa Baringo huko Kenya ameuawa kwa kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kukutwa akifanya mapenzi na ng’ombe, akisema kwamba alilazimika kufanya mapenzi na ng’ombe kutokana na ukweli kwamba wasichana wengi wameathirika na virusi vya UKIMWI

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad